News/Habari
Balozi Dola & SUGU
a.k.a Mr. II US Tour
ABOUT THE KILLING OF
NELSON RUTTA
(FAZA NELLY FROM X
PLASTAZ)
by Thomas Gesthuizen, April 5, 2006
In this short overview I will try to summarize some of the facts
surrounding the tragic and sudden death of Faza Nelly, one of Africa's hip
hop heroes and an icon in his local scene of Arusha, northern Tanzania.
On Monday 27 March, emcee Faza Nelly (Nelson Chrizostom Rutta) from
Arusha, Northern Tanzania was stabbed 9 times with a knife by his
neighbour.
Two days later he died from the results of the stabbing as the knife had
severely damaged his lungs.
A PHOTO OF MOSES
Yohana Kilevo, THE MURDER SUSPECT.
WANTED FOR THE MURDER
OF Emcee Faza Nelly (Nelson Chrizostom Rutta)
REWARD OF 500,000 TSH
The family can be contacted on either one of
these numbers:
+255-744 835933,
+255-744 919510,
+255-745 049055,
+255-748 508783,
+255-744 449295,
+255-748 815104
Click here to read more
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
March 30, 2006
Rest in
peace: Nelly from X Plastaz (Tanzania)
Kwetuentertainment sends its deepest condolences to X Plastaz's crew,
family, friends and fans world wide. Nelly a.k.a Faza , one of Tanzania's
finest emcee's will be missed by many. One Luv my brother. Balozi a.k.a Dola
Sad news from
Tanzania where Faza Nelly, one of the founding members of Tanzanian rap group
X Plastaz, passed away last night. Nelly had been admitted to hospital with
wounds inflicted by a knife that a psychotic neighbour had used to attack him.
Doctors had hope of curing him, but the damage to his lungs proved too severe.
Nelly's death has shocked his family, friends and the international music
community who have expressed their grief in the condolence register at the
X Plastaz website.
He will be buried the coming weekend and his brother and group member Gsann
will come over from the USA to attend the funeral.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
August 31, 2005
DONDOO za Bongo na James
Nindi, Tanzania
-------------------------------------------------
R.I.P COMPLEX - LALA
MEMA PEPONI MWANANGU
MTAYARISHAJI mahiri wa muziki katika studio mpya na za kisasa nchini Tanzana,
Saimon Sayi,"Complex"
amefariki katikati ya mwezi Agosti eneo la Mbwewe,Tanga akiwa njiani
kuelekea Arusha.
Complex,ambaye binafsi nilianza kufahamiana naye kupitia msanii,Ambene
Yessaya"AY"
akiwa produza katika studio za Backyard wakati
huo,alipatwa na mauti hayo akiwa
njiani kuelekea Arusha akitokea mjini Morogoro katika tamasha la Fiesta.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Ghetto Boys kuzinduwa - Yote Bure
KUNDI la muziki wa hiphop la Ghetto Boys limekamilisha kurekodi albamu yake
mpya
iliyobeba jina la Yote Bure. Akizungumza na Mtandano huu,Tanzania jana,mmoja
wa wasanii wa kundi hilo,Juma Mjivuni alisema albamu yao hiyo imebeba
jumla ya nyimbo nane.
Alisema kazi ya kurekodi albamu hiyo imefanyika katika studio tofauti ambazo
ni Aegies,
Sound Crafters, Bongo Records pamoja na Mwingu zote za Dar es
Salaam.
Bonyeza hapa kusoma zaidi
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
August 25, 2005
DONDOO za BONGO
Na Jasmes Nindi,Tanzania
-------------------------------
Dudu Baya sas yuko kwenye Kiwango
MSANII wa muziki wa Bongo fleva,Godfrey Tumaini"Dudu Baya" amekamilisha kazi
ya kurekodi albamu ya sita iliyobeba jina la Kiwango.
Akizungumza na mtandano huo,Tanzania jana,msanii huyo alisema kazi hiyo
imekamilika na albamu yake hiyo imebeba jumla ya nyimbo tisa.
Bonyeza hapa kusoma zaidi
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Rich One - akamilisha album yake - Hakuna Kitu
Richard Shauri"Rich One" msanii wa muziki wa bongo fleva nchini Tanzania
amekamilisha kazi ya
kurekodi albamu yake ya pili iliypobeba jina la Hakuna kitu.
Akizungumza na Mtandano huu,Dar es salaam Tanzania,hivi karibuni,alisema
kazi
ya kurekodi albamu hiyo imefanyika katika studio tofauti Tanzania.
Bonyeza hapa kusoma zaidi
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
August 19, 2005
DONDOO za Bongo na James
Nindi, Tanzania
-------------------------------------------------
Ipo Siku album
mpya ya Mheshimiwa Temba
MSANII mahiri wa muziki wa bongo fleva Amani Temba"Mheshimiwa Temba" toka
kundi la Wanaume Family ameanza kazi ya kurekodi albamu yake ya pili
iliyobeba jina la Ipo siku.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Bwana Misosi yuko tayari
kutia ndani tena
JOSEPH Rushahu,"Bwana Misosi"msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya
amekamilisha kazi ya kurekodi albamu yake ya pili"Kazi yangu" ambayo imebeba
jumla ya nyimbo nane.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Soggy Kuzinduwa album ya
nne - March 11
MSANII wa muziki wa Hiphop Tanzania,Anslem Ngaiza"SoggyDoggy" anajiandaa
kutoa albamu yake ya nne Septemba mwaka huu ambayo itabeba jina la March 11.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Video ya Choka Mbaya, "Yatima"
itaonekana ndani ya Luninga hivi Karibuni
KUNDI la muziki wa hiphop la wasichana watano ambao wote ni walemavu,Choka
Mbaya Sisters limekamilisha kazi ya kurekodi video yao mpya Yatima chini ya
kampuni ya Tripol Media ya Tanzania.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Wangoto Click -
kuwaonyesha Mitaa ya Home kwenye Video
KUNDI la muziki wa hiphop la Wangoto Click lenye maskani yake Temeke,Dares
Salaam,Tanzania limekamlisha kazi ya kurekodi video yake ya kibao chake
kipya Mitaa ya home ambacho kimejipatia umaarufu katika ulimwengu wa muziki
nchini.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
August 01, 2005
Makala ya James Nindi
Makala na
James Nindi - Kuhusu muelekeo na mtazamo wa HIP HOP , Tanzania
Nafikiri nitaanza kuandika kwa kuanzia na mawazo ambayo nilipata kuyasikia
katika siku za nyma juu ya muiziki huu.
Mara ya kwanza pale ambapo muziki huu ulianza mwanzoni mwa miaka 90,jamii
kubwa iliuchukulia muziki huu kama ni uhuni.
Kutokana na hilo sehemu kubwa ya jamii hapa Tanzania,hasa watu wenye umri
kuanzia miaka 45 kwenda juu waliuchukulia
muziki huu kama ni uhuni na hauna faida yoyote ka vijana wao. Hivyo
walipoanza kuupiga vita,wapo vijana ambao.....
Bonyeza hapa kusoma zaidi
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Dondoo za Bongo
na James Nindi, Tanzania
Stara ana wasiwasi na mapenzi
MSANII mahiri wa muziki wa Zouk nchini Tanzania,Stara Thomas yupo mbini
kutoa video yake mpya ya kibao Wasiwasi wa Mapenzi ambayo imerekodiwa
na kampuni ya Visho Lab ya ijini Dar es Salaam Tanzania.
Bonyeza hapa kusoma zaidi
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Big Dogg Posse kuonekana - Kona Zote
ndani ya album mpya
KUNDI la muziki wa hiphop la Big Dogg Posse(BDP- Kamili )la nchini hapa
linajiandaa kufanya uzinduzi albamu yake mpya,Kona Zote"
baada ya kuingiza katika soko la muziki nchini.
Bonyeza hapa kusoma zaidi
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kala P awapinga mizinga wenye luninga
KUNDI la muziki wa Hiphop la Kikosi cha Mizinga lenye maskani yake block
41,Kinondoni,
Dar es salaam,Tanzania limelalamikia kitendo cha vituo vya
luninga nchini Tanzania kutoipa
kipaumbela video yao mpya,Mstari wa mbele.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Mazimwi - GWM kutoka na moto mkali
RASHID Ziada msanii wa kundi kongwe la Gangster With Matatizo(GWM)
laenye maskani yake Temeke,Dar es Salaam,Tanzania alisema pamoja na yeye
kuwa katika kundi
la wanaume Family badop kundi lake hilo lipo.
Akizungumza na Mtandano huu Dar es Salaam,
Tanzania,Rashid maaraufu kama Kr alisema kuwa kuwa kundi lake hilo ambalo
limeudwa na
wasanii wawili,yeye na D Chief bado lipo na linajiandaa kutoka na
moto mkali.
Bonyeza hapa kusoma zaidi
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
July 24, 2005
DONDOO za Bongo na James
Nindi, Tanzania
Joan Matovolwa kutowa
album - 'Maana ya Love'
MSANII wa kike wa muziki wa Zouk na RnB,Joan Matovolwa amesema yupo mbioni
kutoa albamu yake itakayojulikana kwa jina la Maana ya Love.
Msanii huyu ambaye alipata sifa nyingi baada ya kushirikishwa na
msanii,Dataz katika kibao chake cha Mume wa Mtu,alisema tayari kazi hiyo
ameianza ambapo kibao chake "Unastahili" kimekamilika kurekodiwa na kimeanza
kusikika katika vituo vya redio nchini.
Bonyeza hapa kusoma zaidi
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Danny anavyo Hisi ndani
ya video mpya
DANNY Msimamo msanii wa muziki wa hiphop toka
mkoani Tanga ambaye anatamba
na wimbo wake MIC, amesema anajiandaa na kazi ya kurekodi video yake ya pili
ambayo inaitwa Nahisi.
Katika mahojiano na mtandano huu,Dar es salaam ,Tanzania juzi,Msimamo ambaye
amejipatia sifa kwa ajili ya wimbo wake huo na video ya wimbo wake huo
alisema amefikia uamuzi ili kuweza kuzidi kujitangaza.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Majitu - LWP wafanya
mamboz Soundcrafters- kuna kitugani kipya?
KUNDI la muziki wa Hiphop la Live with Purposse( LWP-Majitu) majitu
lenye
maskani yake Temeke,Dar es salaam -Tanzania limesema lipo
studio,Soundcrafters,likiwa linaendela na kazi ya kurekodi albamu yake ya
pili.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
July 23, 2005 - New
York, New York
Balozi Dola ndani ya Movie
ya Hip Hop - 'Bongo Barber's Shop'
Msanii machachari wa Hip Hop Balozi Dola anoishi na kufanya
shughuli zake za Hip Hop mjini New York, USA amekamilisha
kushooti Video ya Hip hop na kupiga hatuwa yaki historia katika Bongo
flava kwa kuwa msanii wa kwanza toka Africa kurekodi Cinema fupi ya
Hip Hop na wa asisi na ma gwiji wa sanaa ya rap.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Na James Nindi, Tanzania -
July 20, 2005
Mheshimiwa Temba (Wanaume
Family)
MSANII mahiri wa muziki wa hiphop Amani Temba a.ka. Mheshimiwa Temba toka
kundi la Wanaume Family lenye maskani yake Temeke,Dar es Salaam amesema
ameanza kazi ya kurekodi albamu yake ya pili itakayojulikana kwa jina la "
Ipo siku".
Bonyeza hapa kusoma zaidi
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Wagosi wa Kaya -
Kuzinduwa album 'Nyeti"

KUNDI la muziki wa Hiphop la Wagosi wa Kaya lenye maskani yake mjini Tanga
limekamilisha kazi ya kurekodi albamu yake mpya ya nne iliyobeba jina la
Nyeti katika studio mpya za kisasi za Aegies zilizopo Mikocheni,Dar es
salaam, Tanzania.
Bonyeza hapa kusoma zaidi
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
East Coast Team (ECT)

KUNDI la Muziki wa hiphop la East Coast Team lenye maskani yake
Upanga,Jijini Dar es salaam Tanzania linatarajia kufungua kampuni ambayo
itahusika na uuzaji wa kazi zao katika siku za mbeleni.
Kiongozi wa kundi hilo,Gwamaka Kaihula a.k.a King Crazy GK alisema kuwa
hatua hiyo imefikiwa na kundi lake ili kuweza kuepukana na wimbo wa wizi wa
kazi za wasanii.
Bonyeza hapa kusoma zaidi
Back
to Home page